SIMBA KUIFANYIA MAUAJI MTIBWA SUGAR LEO UWANJA WA UHURU
Kikosi cha Simba jana kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar.
Mechi hiyo itapigwa leo Ijumaa kwenye Uwanja wa Uhuru kuanzia saa 10:00 jioni.
Simba mpaka sasa ipo kileleni mwa ligi ikiwa na alama tatu na kilichowaweka hapo ni kutokana na mabao mengi ya kufunga.
Katika mchezo wa kwanza, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania.
0 COMMENTS:
Post a Comment