Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amemtaka straika wa Liverpool, Mohamed Salah kuacha uchoyo wakati akiichezea timu yake.
Wenger amesema kuwa endapo Salah ataacha tabia yake ya uchoyo ana nafasi kubwa ya kuweza kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Dunia.
Wenger amesema kuwa tabia ya Salh imekuwa ni ya muda mrefu kwani akiwa na mpira mara nyingi anapiga hesabu za kufunga jambo ambalo sio nzuri ndani ya timu.
0 COMMENTS:
Post a Comment