October 21, 2019


Uongozi wa Azam FC umemtangaza rasmi Kocha Aristica Cioaba, kuchukua nafasi ya Etienne Ndayiragije.

Cioaba amerejea Tanzania kwa mara ya pili baada ya kuinoa Azam miaka mitatu iliyopita kabla ya kuondoka na nafasi yake kuchuliwa na Ndayiragije.

Kwa maana hiyo sasa, Ndayiragije ambaye anatajwa kuchukua Ukocha Mkuu Taifa Stars si kocha wa Azam tena.

3 COMMENTS:

  1. Nafasi yake Cioba ilichukuliwa na Hans si Ndayiragije ndugu mwandishi

    ReplyDelete
  2. namuonea huruma sana maana anaingia Azam na mkosi,mechi ya kwnza na kichapo napenda kumtangulizia pole mapema,ngoja tusubiri muda utaongea.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic