Uongozi wa Azam FC umemtangaza rasmi Kocha Aristica Cioaba, kuchukua nafasi ya Etienne Ndayiragije.
Cioaba amerejea Tanzania kwa mara ya pili baada ya kuinoa Azam miaka mitatu iliyopita kabla ya kuondoka na nafasi yake kuchuliwa na Ndayiragije.
Kwa maana hiyo sasa, Ndayiragije ambaye anatajwa kuchukua Ukocha Mkuu Taifa Stars si kocha wa Azam tena.








Atafukuzwa baada ya mechi ya Simba
ReplyDeleteNafasi yake Cioba ilichukuliwa na Hans si Ndayiragije ndugu mwandishi
ReplyDeletenamuonea huruma sana maana anaingia Azam na mkosi,mechi ya kwnza na kichapo napenda kumtangulizia pole mapema,ngoja tusubiri muda utaongea.
ReplyDelete