October 19, 2019

KIKOSI cha Yanga leo kimewasili salama mkoani Mwanza ambapo kimetua leo kwa ajili ya kumaliza maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Pyramids ya Misri.

Mchezo huo wa mtoano wa Kombe la Shirikisho unatarajiwa kupigwa Oktoba 27 uwanja wa CCM Kirumba.

Juma Abdul, beki kisiki wa Yanga amesema kuwa morali ya wachezaji ipo juu na watapambana kufanya vizuri.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic