October 12, 2019


Nimewatizamaa hao jamaa naona ni timu ya kawaida ambayo inafungika pia.

Kitu muhimu kwetu ni maandalizi ya kutosha, kila mmoja awajibike kwenye eneo lake, tuna kila sababu ya kushinda mchezo wa kwanza tarehe 27/10 kisha tukamalizie shughuli huko kwao.

Wananchi / wenye nchi ndiyo sisi wale wengine wahamiaji tu wasitutingishe..! Kabiiiisa

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic