MECHI KALI LIGUE 1 NDANI YA STAR TIMES LEO, PSG, NICE NDANI, KINAWAKA!!
Mechi Kali leo!!
Nice vs PSG
Saa 3:45 usiku
Chaneli:SportsPremium
Ni mechi ya watupia nyavu dhidi ya ukuta wenye nyufa, Kushika nafasi ya 9 na Alama 13, Ni matokeo ya kikosi chenye vijana wengi Cha Nice ya Patrick Viera hasa ikichagizwa na ukuta wao usio imara unaoongozwa na Dante.
Safu Kali ya ushambuliaji ya PSG ambayo inaongozwa na Mauro Icardi na Pablo Sarabia baada ya majeraha kwa nyota NEYMAR ,Cavani na Mbappe. Kupitia Sarabia PSG wamekuwa na hatar sana kule mbele.Usikose hii gemu utajutia🔥!!
PSG wamepoteza michezo 2 tu Katika ligue 1 msimu huu na yote hio ,Kiungo mbabe kutoka Senegal ,Idrissi Gana Gueye hakuwepo,huku wakishinda michezo yote msimu huu ambayo ameshiriki.
Majeraha aliyoyapata Gueye yanaweza kuleta kipigo kingine kwa PSG leo? Usikoseeee 🔥⚽
Kasper Dolberg kuibeba Nice leo? "Denmark goal machine" amekuwa sajili Bora kwa Nice msimu huu.
Michezo 5 iliyopita
*Nice- Ameshinda 3,Sare1 na Amepoteza 1.
*PSG- Ameshinda 4,Amepoteza 1.
+ Lipia Sasa UHURU Tsh18000 TU!!
#kabumbulimekolea#MpangoNisoka.
⚽🔥⚽🔥⚽🔥⚽
0 COMMENTS:
Post a Comment