October 13, 2019

2 COMMENTS:

  1. Ni sahihi kabisa, Ajib na Kakolanya walionyesha kiwango kikubwa sana kwenye mchezo wa jana. Mwingine aliyekuwa kwenye kiwango bora ni Francis Kahata. Yule wa jana ndiye Kahata tunayemfahamu. Kuhusu Kakolanya, siku zote nimekuwa nikisema ndiye kipa bora kwa sasa nchini. Simba iendelee kumuamini, lakini pia ana nafasi yake kwenye kikosi cha timu ya taifa.

    ReplyDelete
  2. Huyo bilionea wenu si angewalipa mishahara kwanza hao wachezaji wengine wameachwa masikini hamjawalipa hadi leo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic