R KELLY ASHTAKIWA KWA KUVUNJA NDOA
Nchini Marekani Bwana mmoja anayejulikana kwa jina la Kenny Bryant amefungua mashtaka katika mahaka ya Mississip amedai kuwa mwanamuziki R. Kelly amevunja ndoa yake.
Bwana Kenny Bryant aligundua kuwa R. Kelly aliwai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wake (Asia Childress).
Mtandao wa The Blast umeripoti kuwa tangu bwana huyo awasilishe shtaka hilo mwanasheria wa R. Kelly, Kellz hajajibu chochote, Kenny Bryant ameiomba mahakama impatie ushindi kuhusu kwsi hiyo kwani imemsababishia hasara kifedha pamoja na athari za Kiafya.
0 COMMENTS:
Post a Comment