October 19, 2019


REAL Madrid inampango wa kumsajili kiungo wa Chelsea, N'Golo Kate kwa kuwa amekuwa akionyesha kiwango bora.

Madrid wameshindwa kufanya vizuri msimu huu kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ingawa wameonyesha umahiri mkubwa.

Klabu hiyo inataka kutoa kitita cha pauni milioni 86 Kwa ajili ya mchezaji huyo pamoja na kuwapa Chelsea, James Rodriguez ambaye hana nafasi chini ya Zinadine Zidane.

Madrid wanaamini, Kante alicheza na Eden Hazard basi wataweza kuonyesha kiwango cha hali ya juu kwa kuwa walicheza pamoja nchini England.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic