October 12, 2019


Siku nyingine nzuri tunakuwa tukishirikiana na kushauriana na Star Times katika kuhakikisha masuala ya michezo yanazidi kuimarika, kuboreka na content sahihi.

Star Times inajulikana kwa ubora wa mwonekano na content za kutosha lakini ushirikiano wa pamoja utatufanya kuwapa wateja wanachotaka na hasa katika michuano mbalimbali ikiwemo Bundesliga, League 1 au sasa kuna Euro Qualifiers.

Twende sasa.......

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic