Uongozi wa Dkt Msolla hausikilizi maoni ya wadau nimeuandikia e-mail nyingi mno kuwashauri na kuwakumbusha mambo ya msingi ili ushindi upatikane lakini WAMEYAPUUZA sasa nyinyi wenyewe mnashuhudia matokeo yake....waambieni waangalie email kutoka kwa Al Lec wazipitie na kuzifanyia kazi...
M2 hujifunza kutokana makosa japo akikubal kukosolewa
ReplyDeletemagazeti yanapamba sana timu
ReplyDeleteKwa Wapenzi wa Yanga Wanaoumia tu! 😁😁
ReplyDeleteUongozi wa Dkt Msolla hausikilizi maoni ya wadau nimeuandikia e-mail nyingi mno kuwashauri na kuwakumbusha mambo ya msingi ili ushindi upatikane lakini WAMEYAPUUZA sasa nyinyi wenyewe mnashuhudia matokeo yake....waambieni waangalie email kutoka kwa Al Lec wazipitie na kuzifanyia kazi...