October 13, 2019


MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wametua mkoani Kigoma kwa ajili ya michezo ya kirafiki wanayotarajia kuicheza hivi karibuni.

Simba itamenyana na Mashujaa ya Kigoma, kesho uwanja wa Lake Tanganyika pamoja na Aigle Noir Octoba 16 uwanja wa Lake Tanganyika.

Baada ya kuwasili imezindua tawi eneo la Ujiji linaloitwa tawi la Simba la Tanganyika.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic