WACHEZAJI WATAKOANZA MECHI YA LIGI NA POLISI TANZANIA LEO WATAJWA - VIDEO
Kikosi cha Yanga kitakuwa na kibarua cha mchezo wa Ligi Kuu Bara leo Alhamisi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa kucheza dhidi ya Polisi Tanzania.
Yanga itaingia ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza mechi ya kwanza dhidi ya Ruvu Shootinga kwa bao 1-0.
Kuelekea mchezo huo, Ofisa Mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz, amezungumzia maandalizi yalivyo sambamba na kutaja baadhi ya wachezaji ambao watakuwa sehemu ya mchezo huo.
0 COMMENTS:
Post a Comment