YANGA YAPANGIWA WAARABU WA MISRI KOMBE LA SHIRIKISHO, TAREHE YA MECHI YATAJWA
Droo ya Kombe la Shirikisho Afrika imefanyima usku wa leo ambapo Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Pyramid FC ya Misri.
Yanga itakipiga na timu hiyo katika mchezo wa play-off wa kuwania kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Ratiba hiyo inaonesha Yanga itaanza kukupiga hapa nyumbani kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Oktoba 27 na mchezo wa marudiano utachezwa Novemba 03 huko Misri.
caf game zote yanga nyumban ndo wameona anapaswa kuanzia?!
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMpango wa CAF ni kuziondoa klabu zote za East Africa kwenye mashindano haya yalisukwa tokea uchaguzi wa CAF members uliofanyika Egypty mwezi Julai
ReplyDeleteHaya sasa mlikua mnataka mwaarabu huyu hapa,goli mbili tuu chaali
ReplyDelete
ReplyDeleteMcAfee offers a high level of security and has an advanced scanning feature. The McAfee firewall secures the users from unknown websites. It also gives the users a full report about the threats which the antivirus had already blocked from the system. The retail card of McAfee will permit the users to download, install and activate McAfee product to their system by inserting a compact disk or going to its website.
MCAFEE.COM/ACTIVATE
Walitamba eti was basi ni wa kimataifa sana na eti waleteni hao waarabu!Kwa soka gani Yanga itasonga mbele...wakati wakifungwa, kutoa sale na kuzawadiwa goli lisiloeleweka simba eye kanagawa dozi ya tatu tatu.Mwisho wa safari mliyozawadiwa ticketi na Simba
ReplyDeleteJamaaa anasema haya mashindano kwao siyo kipaumbelee so tayari walishakata tamaaa nadhani wanaenda kukamilisha ratiba tu
ReplyDeleteBadala ya kwenda egypty washughulikie swala la ugongwa wa mzeee anawapa laana !!!
ReplyDeleteJamaani mtibuni mzee wetu Akilimali vinginevyo ni goli 5-0 laana yake itawashika acheni masikhara
ReplyDeleteNdio utaratibu walioweka CAF kwamba timu zilizotolewa Champions League na kudondokea Shirikisho zianzie nyumbani kwa kuwa zinachukuliwa kama underdog
ReplyDeleteSOKA LA AFRIKA LINA MAMBO MENGI NDYO MAANA ATUENDELEI
ReplyDelete