BANDA AIBUKA NA JINGINE KUHUSIANA NA MAJERAHA AFRIKA KUSINI - VIDEO Straika Mtanzania anayekipiga katika klabu ya Highlands Park ya Afrika Kusini, Abdi Banda, amefunguka kuhusiana na majeraha yanayomsumbua baada ya kufanya mahojiano na Global TV
Ameshakuwa straika huko Highlands Park?
ReplyDelete