Shabiki wa Taifa Stars, Bongo zozo Novemba 16, 2019 amefika Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda na kumkabidhi kiasi cha Paundi 300 za Uingereza (sawa na Tsh 890, 600) kwa ajili ya matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa moyo Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment