Roma mkatoliki msomi? ila kusoma siyo kuelimika. Unaweza ukawa umesoma lakini ukawa mpumbavu. Na Roma mkatoliki ni miongoni mwa wapumbavu. Kweli Roma mkatoliki anawalaumu watu kutoungana na Mange kimavi kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi? Mange kimavi ni Muhalifu alijitosheleza kwa kuwatukana na kuwazalilisha watu na familia zao. Labda Roma mkatoliki anatafuta huruma na umaarufu wa boby wine wa Uganda ila Tanzania sio Uganda kujipatia umaarufu wa kijinga wa kisiasa.

ReplyDeleteMi napita tu
ReplyDelete