BREAKING!! MKUDE AONDOLEWA TAIFA STARS Taarifa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inayoeleza kuondolewa kwa kiungo wa Simba, Jonas Mkude, katika kikosi cha Taifa Stars.
Eti ameondolewa, semeni ameomba kutojumuishwa bhanaaa. Huu ni mwendelezo wa ubabaishaji mkubwa wa waandishi wa blogu hii...
ReplyDeletewameshindwa kupata headline za kuuza magazeti, halafu ni breaking news.
ReplyDelete