November 15, 2019


CRISTIANO Ronaldo, nyota wa timu ya Taifa ya Ureno amefikisha jumla ya hat-trick 55 kwenye maisha yake ya soka.

Ushindi wa mabao 6-0 kwa timu yake ya taifa mbele ya Lithuania unaiweka Karibu timu yake kufuzu michuano ya EURO 2020.

Amefikisha jumla ya mabao 98 akiwa na timu yake ya taifa ya Ureno.

Pizzi, Goncalo Paciencia na Bernado Silva walifunga mabao mengine kwenye ushindi huo wa mabao 6.


Baada ya ushindi huo mashabiki walimkimbilia CR 7 nakupiga naye picha za ukumbusho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic