November 30, 2019


Kocha ambaye jina lake likitajwa tu mashabiki wa Yanga wanashtuka, Mwinyi Zahera ametua nchini usiku wa kuamkia jana Jumatano.

Zahera tofauti na alivyozoeleka juzi alikuwa amepiga uzi mwekundu wa timu ya Taifa ya DR Congo na baadhi ya mashabiki waliokuwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere aliwagawia.

Yanga wamekuwa hawataki kumsikia Zahera kwa madai kwamba anavujisha siri zao kwenye vyombo vya habari. Spoti Xtra linajua kwamba kocha huyo ana ofa tatu mezani kwake ingawa amegoma kuweka wazi majina ya timu mpaka atakapomalizana na Yanga wiki ijayo.

Lakini habari zingine zimekuwa zikimhusisha na Simba na inadaiwa kwamba walimhamisha kutoka kwenye jumba alilokuwa akiishi maeneo ya ufukwe wa Kawe na kumpangishia katika hoteli ya kifahari ya  YANGA wamelielekeza benchi la ufundi na wachezaji kuwashukia Alliance kwelikweli jijini hapa kesho Ijumaa. Viongozi wamepania kipigo hicho cha sapraizi ili kuwashtua watani wao Simba wanaokutana nao Januari 4 mwakani.

Lakini vilevile kocha amewaahidi kutopoteza mchezo huo pamoja na kuwafanyia sapraizi Simba watakapokutana nao mwakani licha ya gharama ya vikosi hivyo kutofautiana. Baada ya mchezo wa kesho Ijumaa, Yanga haitacheza tena mpaka itakapokutana na mwenyeji wao Simba kwenye Uwanja wa Taifa ikiwa chini ya kocha mpya kwani Patrick Aussems anasepa. 

9 COMMENTS:

  1. This is too much now..inaonyesha hamna wataalam wazuri wa kuandaa habari,mnatuchanganya tu wasomaji kwa kutuchanganyia habari ya zahera na game ya alliance...

    ReplyDelete
  2. Mnashangaa nini?Kanjanja at their best.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!

      Delete
  3. jitahidini kurekebisha habari zenu ili wasomaji wenu wakafaidi mlichoandika.
    ..

    ReplyDelete
  4. Apo kikubwa anachopaswa kuhariri kabla ya publication ni uwiano wa heading na content ya habari

    ReplyDelete
  5. Waandishi makanjanja,kichwa cha habari na mada haviendani.

    ReplyDelete
  6. Waandishi makanjanja,kichwa cha habari na mada haviendani.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic