MBWANA SAMATTA WAKANA EQUATORIAL GUINEA
Nahodha wa kikosi cha Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunguka kuhusiana na wapinzani wao Equatorial Guinea ambao watacheza nao Ijumaa ya wiki hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuelekea kufuzu AFCON.
0 COMMENTS:
Post a Comment