LIGI Kuu Tanania Bara inaendelea kwa mechi tatu kupigwa viwanja tofauti leo
Simba itamenyana na Mbeya City uwanja wa Uhuru, mechi hii itakuwa Live Azam Sports 2.
JKT Tanzania na Tanzania Prisons wote wana point 12, leo wanakutana huku Tanzania Prisons akiwa hajapoteza mchezo mpaka sasa mechi hii itakuwa Live Azam XTRA kuanzia saa 10:00 Jioni.
Wagosi wa Kaya 'Coastal Unioni kuwakaribisha Mbao FC, .ZBC2 kukuletea Live mechi hii kuanzia saa 10:00 Jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment