November 3, 2019


Kocha Mkuu wa Yanga amefichia siri ya mchezaji wa timu hiyo, Paul Godfrey 'Boxee kutopona mpaka sasa.

Zahera ameeleza kuwa mchezaji huyo hajafanyiwa vipimo vya afya vya maana kiasi kilichopelekea asiwe fiti kujiunga na kikosi.

“Subiri nikwambie kitu, kwanza hamuoni wachezaji wangu wakiumia wanakaa nje muda mrefu?

"Tatizo wachezaji hawatunzwi, mchezaji anaumia nyama za paja lakini matibabu yanachelewa hayaendi kwa wakati kabisa hasa upande wa vipimo.

“Kiukweli hadi leo Paulo Godfrey hajafanyiwa vipimo vya maana, nilimuuliza yule daktari wa mbele (Edward Bavu) kwa nini huyu mtoto haponi na anakaa muda mrefu, shida ni kwamba wachezaji wanatunzwa vibaya.

CHANZO: CHAMPIONI

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic