November 30, 2019


HASSAN Mwakinyo bondia wa ngumi za kulipwa Bongo amesema kuwa hajafurahishwa na aina ya ushindi alioupata mbele ya Arnel Tinampaya.

Kwenye pambano la rauundi 10 lililopigwa uwanja wa Uhuru, Mwakinyo alishinda kwa pointi jambo ambalo hajafurahia.

"Sijafurahia aina ya ushindi niliuupata ila ni sehemu ya matokeo kwa kuwa ushindani ulikuwa mkubwa na gloves hazikuwa rafiki kwangu, wakati mwingine nitakuwa tofauti zaidi ya hapa," amesema Mwakinyo.

Matokeo ya jumla yapo namna hii:-Jaji wa kwanza ametoa 97 -93 , Jaji wa pili akatoa 98-92 na Jaji wa tatu akatoa 96-96.

3 COMMENTS:

  1. Hana lolote huyo kiduku mzuri kuliko huyo kabebwa hadi aibu tupu kiduku angempiga huyo mwakinyo hana lolote mshindi ni mfilipimo hata mtoto mdogo ameona

    ReplyDelete
  2. Usijiropokee tu boxer sio kon fuu wala karate

    ReplyDelete
  3. Hao ndio huwa wanahesabu adi ngumi za kwenye tumbo ( body shots) ajui ngumi achana nae

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic