November 11, 2019


NYOTA wawili wa timu ya Lipuli, Paul Nonga na Daruweshi Saliboko kwa sasa wameingia kwenye anga ya kuwania kiatu cha mfungaji bora.

Nyota hao wote wawili wametupia jumla ya mabao sita huku Saliboko akiwa ana hat-trick moja mguuni aliyoipata mbele ya Singida United.

Kagere wa Simba ambaye ni kinara wa kutupia amewaacha kwa jumla ya mabao mawili nyota hao wawili ambao ni wazawa wakifikisha jumla ya mabao 12 kwenye timu yao ambayo imekuwa ni moto wa kuotea mbali.

Nonga nahodha wa Lipuli amesema kazi bado inaendelea hesabu zao ni kufanya vema msimu huu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic