November 17, 2019


BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake Kilimanjaro Queens amesema kuwa siri kubwa ya ushindi wa timu yake ni nidhamu na kujiamini katika kile wanachokifanya.

Kili Queens ambao ni mabingwa watetezi wa kombe la Cecafa walishinda mabao 9-0 mbele ya Sudan ya Kusini mchezo wa kwanza uliochezwa jana uwanja wa Chamazi.

"Vijana wanajituma na wanatambua kwamba ni mabingwa watetezi jambo linalowapa ugumu katika kutimiza majukumu yao.

"Kukosa kwao nafasi kunatokana na presha ya mchezo hasa kutokana na mwanzo wa mchezo wa kwanza na kila mmoja anahitaji kushinda tutafanyia kazi kwa ukaribu," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic