UWANJA WA SIMBA BUNJU MAMBO MATAMU, TAZAMA HATUA ULIYOFIKIA MPAKA SASA Namna muonekano wa Uwanja wa Simba unaojengwa huko Bunju, Dar es Salaam ulivyo hivi sasa. Taarifa zinasema unaweza ukaanza kutumiwa mapema mwezi Disemba mwaka huu.
THIS IS simba hao kandambili bado wanaomba vifusi masikini wafukie bwawa lao pale kwao
ReplyDelete