November 24, 2019


Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda na klabu ya Simba, Meddie Kagere, amechaguliwa katika orodha ya wanasoka wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2019 kwa Ligi za ndani.

Mbali na Kagere, aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi Raia wa Uganda ambaye kwa sasa ni mchezaji wa Ittihad Alexandria naye yumo kwenye orodha.



4 COMMENTS:

  1. Haiwezekani mbona Balinya hayupo?

    ReplyDelete
  2. Kwani Miquissone wa UD SONGO unamwona hapo!! Mmenunua ya RUVU ndo mnatembea kifua mbele! Mlivoona mmeshapata wachezaji wa kuwanunua mkaanza kutamba ata kabla ya mechi.

    ReplyDelete
  3. Bado mtanunuliwa nyie tarehe 4 Januari kwani mazungumzo tayari.Mtapigana bakora hiyo ni ahadi.

    ReplyDelete
  4. Siku hiyo wakifungwa goli chache ni 4.Labda waahirishe mechi ikichezwa tarehe hiyo kipigo kitakuwa kikali.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic