November 11, 2019


Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman (Morocco) hii leo ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 40 cha Zanzibar Heroes kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Cecafa Seniors Challenge Cup inayotarajiwa kuanza Disemba 1-19, 2019 huko Kampala nchini Uganda. Kikosi hicho ni

MAKIPA
1.Abdul-latif Said Masoud (Jamhuri)
2. Mohamed Abrahman (JKT TZ)
3.Mohamed Muali (Polisi Tz)
4.Abdallah Rashid "Babu" (Ruvu Shooting)
5.Haji Juma "Chafu" (JKU)
6.Ahmed Ali "Salula" (Malindi)

WALINZI
1.Suleiman Said Juma (Zimamoto)
2.Mohammed Othman Mmanga (Polisi Tz)
3.Ibrahim Mohamed "Sangula" (KVZ)
4.Mwinyi Haji Ngwali (KMKM)
5.Juma Kukuti Adam (Polisi Tz)
6.Ally Haji (Mwenge)
7.Abdul Malik Adam (Mafunzo)
8.Ali Juma Maarifa (Malindi)
9.Issa Haidar Dau (JKU)
10.Abdallah Kheir (Azam)
11.Ibrahim Ame Mohd (Coastal Union)
12.Ally Ally (Yanga)
13.Abubakar Ali (Mlandege)
14.Ibrahim Hamad (Malindi)
15.Agrey Morris (Azam)
16.Abubakar Ame "Luiz" (Malindi)

VIUNGO
1.Abdul aziz Makame (Yanga)
2.Abdul swamad Kassim (Kagera)
3.Awesu Awesu (Kagera)
4.Mudathir Yahya (Azam)
5.Is haka Said (KMKM)
6.Adam Ibrahim "Edo" (KMKM)
7.Kassim Suleiman (Azam)
8.Haroun Abdallah (Zimamoto)
9.Feisal Salum (Yanga)
10.Mohamed Issa (Yanga)
11.Mustafa Muhsin "Park" (Zimamoto)
12.Helefin Salum (Mlandege)
13.Baraka Shaaban (Ruvu Shooting)
14.Khalid Shaaban (Rich boys)
15.Abdallah Hassan Nassor "Abal" (Polisi Tz)
16.Mohd Mussa (Mbeya City)
17.Mohamed Abdallah (Mlandege)
18.Ally Juma "Larson" (Mafunzo)

WASHAMBULIAJI
1.Ibrahim Hamad "Hilika" (Zimamoto)
2.Abdul nassir Asaa (Mlandege)
3.Khamis Mussa "Rais" (Malindi)
4.Said Salum "Etoo" (Kipanga)
5.Ibrahim Abdallah "Imu Mkoko" (Malindi)
6.Mussa Ali Mbarouk (KMKM)

Kwa mara ya mwisho michuano hii kufanyika ilikuwa mwaka 2017 nchini Kenya ambapo Heroes walipata nafasi ya pili baada ya kukubali kufungwa na wenyeji wao Kenya kwa changamoto ya penati.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic