December 9, 2019

7 COMMENTS:

  1. Wapi kazungumzia kujitoa Simba???

    ReplyDelete
  2. Hawa waandishi hovyo kabisa.Yaani pumba kabisa. Uongo na kukosa umakini ni dalili ya ukanjanja katika kazi ya mtu.

    ReplyDelete
  3. Ajiondoe Simba na huku wanachama na wapenzi wakimshangilia kwa kila analolitamka inaingia akilini.Masikini roho zao

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha ha, mikia fc bwana mkisikia mo anajiondoa Simba mnaanza kujinyeanyea sababu mmezoea vya bure, mtapata taabu sana

      Delete
  4. ha ha ha, mikia fc mkisikia mo anajiondoa Simba mnaanza kujinyeanyea sababu mmezoea vya bure

    ReplyDelete
  5. Unajinyea wewe hata pesa za mishahara hakuna.Jilinganidheni nä Ndanda. Simba sio size yenu.Mnalazimisha tu mambo.Bwawa limekauka maji?Vyura mmeanza kutapatapa.

    ReplyDelete
  6. Kumbe vyura hata huku wako? Wenzenu wanakimbia klabuni hawajalipwa miezi mitatu, unakuja kushabikia upuuzi kama huu!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic