MASWALI KUIHUSU YANGA 1. Uchaguzi wa Viongozi wa Yanga....Je, ni kweli kuwa kuna Mamluki kupenyezwa?....Na kweli kwamba hili linahitaji uchunguzi, ushahidi na tafiti kulibaini?
2. Serikali kutia mkono wake kuipeleleza na kuidhoofisha Yanga, ikiungana na nguvu ya kiuchumi iliyopo Simba...Je, hoja hii ina ukweli ama zimebaki kuwa ni tetesi tu?
3. Jiulize ni kwanini Klabu ina Wadhamini zaidi ya 4 (SportPesa, Azam TV, Maji ya Afya, GSM Foam, GSM Tanzania & Taifa Gas) lakini kwa misimu miwili mfululizo wachezaji wa Yanga wanalalamikia mishahara? Je, kwanini iwe ni Yanga pekee matatizo haya yanaanikwa hadharani? Je, ni kweli kuwa Vyombo Vya Habari vinatumika kutokana na maslahi ya kiuchumi inayopata kupitia watu wenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi mkubwa katika jamii kuichafua Yanga?
4. Kuwepo kwa Makundi ya wanachama wanaotoka katika makundi yenye maslahi binafsi, na wapiga dili waliokuwepo kutokea msimu uliopita...na kupenyezwa kwa mamluki na wanachama kupitia kwenye kamati lukuki zilizoundwa na Mwenyekiti (ambaye amepoteza support kutoka kwa wapenzi wa Yanga walio sehemu kubwa na wengi wanahoji uhalali wake na moyo wa ushabiki kuwa ni wa Simba)
5. Wanachama wenye uwezo wa Kifedha waliokuwapo kipindi cha Utawala wa Manji kutotoa Ushirikiano kwa Maslahi ya Yanga kwakuwa Wanaona wanaoongoza Yanga sasa hivi kwamba labda sio waaminifu au hawawakubali kwa namna ambavyo mambo yanavyoendeshwa ikiwamo kuwapa ruhusa wachezaji muhimu kama wazanzibar wakati kuna mechi za viporo za ligi kuu, kutoa ruhusa kwa wachezaji wa kigeni kwenda makwao wakati Simba wao wachezaji wao wamebaki, na sababu zingine zisizo na maana?
5. Kuchelewa kwa mfumo wa mabadiliko na uwekezaji, ujenzi wa miundo mbinu kama viwanja vya mazoezi....hapa unajiuliza kwanini ni Yanga tu katika timu hizi 2 kubwa kuna kusuasua? Je, ni jitihada za Serikali ya Awamu ya 5 kuidhoofisha kwa manufaa ya Klabu nyingine ya mtaa wa 2, kwakuwa asilimia kubwa ya Viongozi serikalini wana mapenzi nayo? Au ni udhaifu wa Viongozi wa Yanga? Je, ni kweli kuwa wawekezaji wenye nia ya dhati na walio fedha wanaogopa kuwekeza Yanga kwa kuogopa kuandamwa na vurugu ya Serikali ya Awamu ya 5? Kama ni hivyo, Serikali haioni kuwa hawawatendei haki raia wenye utashi binafsi na mapenzi yao binafsi kwa ustawi wa haki na jamii yenye misingi ya upendo na undugu?
Kwanini Viongozi wameombs mpaka Jummane kujibu tuhuma za madai ya mishahara....ukitaka kujua kuna mbinu chafu za Viongozi kutumiwa na maadui ni hizi wanatafuta namna bora na lugha bora ya kuja kuwahadaa wanayanga....hapa kuna shida kwanini hili tatizo linaendelea kuwa sugu wakati klabu kubwa kama Yanga inawadhamini zaidi ya 6?
MASWALI KUIHUSU YANGA
ReplyDelete1. Uchaguzi wa Viongozi wa Yanga....Je, ni kweli kuwa kuna Mamluki kupenyezwa?....Na kweli kwamba hili linahitaji uchunguzi, ushahidi na tafiti kulibaini?

Ahsanteni
Kwanini Viongozi wameombs mpaka Jummane kujibu tuhuma za madai ya mishahara....ukitaka kujua kuna mbinu chafu za Viongozi kutumiwa na maadui ni hizi wanatafuta namna bora na lugha bora ya kuja kuwahadaa wanayanga....hapa kuna shida kwanini hili tatizo linaendelea kuwa sugu wakati klabu kubwa kama Yanga inawadhamini zaidi ya 6?
ReplyDeleteKumbe hela ya kuletwa wachezaji wapya ipo
ReplyDeleteUnaposikia wapya wanasajiliwa wakati wewe umetoa jasho na hujalipwa mshahara miezi kadhaa inatia hasira sana
ReplyDelete