Droo ya FA imechezwa leo ikiwa ni hatua ya 64 bora mechi zinatarajiwa kuchezwa kuanzia Desemba 20-22.
Timu zitakuwa namna hii:-
Mbuni v KMC
Alliance v
Transti Camp uwanja wa Nyamagana.
Ndanda v
Cosmopolitan uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Milambo v
Ruvu Shooting FC uwanja wa All Hassan Mwinyi.
Mbao FC v
Stand United uwanja wa CCM Kirumba.
Biashara
United v Nyamongo uwanja wa Karume.
Mawenzi FC v
Mtwivila City Uwanja wa Jamhuri
Morogoro.
Kitayosa
FC v
Mpwapwa United uwanja wa Mpwapwa.
Friends
Rangers v Talinega FC uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
Kasulu
Redstars v Ihefu FC uwanja wa Sokoine.
Tofo Africa
v Gipco uwanja wa CCM Kirumba.
The Might
Elephant v Mashujaa FC.
Jeshi
Worries v Dodoma FC uwanja wa Jamhuri
Dodoma.
Majimaji FC
v Pamba FC.
Area C v
Panama FC.
Gwambina FC
v Mbeya Kwanza.
Geita Gold v
Pan Afrika uwanja
Sahare All
Stars v Njombe Mji
Rufiji
United v Iringa United
Lipuli FC v
Dar City uwanja
Kagera Sugar
v Rufiji United uwanja wa Kaitaba
Tanzania
Prisons vs Mlale FC uwanja Sokoine Mbeya.
Mtibwa Sugar
v Rhino Rangers uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Simba SC v
Arusha FC uwanja wa Uhuru, Dar
Yanga vs
Iringa United uwanja wa Uhuru, Dar.
Coastal
Union v African Sports Uwanja wa Mkwakwani.
Namungo
FC v Green Warriors uwanja wa Majaliwa
Complex.
JKT Tanzania
v Boma FC uwanja wa Meja Isamuhyo, Mbweni.
Azam FC v
African Lyon uwanja wa Azam Complex.
Desemba 20
kuanza na timu 32 bora
Kwa hivyo Iringa United imepangwa na timu mbili tofauti? Yanga vs Iringa United, Rufiji United vs Iringa United au ni kunakili bila kusoma?
ReplyDeletembona Singida hawapo?
ReplyDelete