JAFARY Manganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Uhuru kuipa sapoti timu hiyo itakapomenyana na Mtibwa Sugar.
Azam FC yenye pointi 35 baaada ya kucheza mechi 16 leo itamenyana na Mtibwa Sugar yenye pointi 22 baada ya kucheza mechi 16.
"Itakuwa ni mchezi ngumu leo na tunawaheshimu wapinzani wetu kikubwa ambacho tunakitaka ni kuona timu inapata matokeo na pointi tatu muhimu.
"Ushindani ni mkubwa hilo tunalitambua, tunawaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti," amesema.

0 COMMENTS:
Post a Comment