January 26, 2020

5 COMMENTS:

  1. Abadiri fani awe mshika kibendera...

    ReplyDelete
  2. Mtu alisema ukweli inakuwa shida kweli mfungaji alikuwa ameotea

    ReplyDelete
  3. Ujinga mtupu kusema mchezaji wa Simba aliotea kwenye lile goli. Mpira umepigwa upo hewani kahata akatoka kunako msitu wa mabeki wa mwadui na kwenda kupiga kichwa na kufunga goli, offside imetokea wapi hapo nyie mafala?

    ReplyDelete
  4. Naona VAR ya mwadui hiii.... Sina uhakika sana kama wachezaji wanajua wanacho kisema au wanasemea ki unazi tu.... Mi nafikiri alitakiwa kusema hata uhakika kama Kahata yko offiside au la mpaka akaangalie marudio, lakni ukisema ni kweli alikuwa offside wakati kuna mshika kibendera na marudio inaonyesha alikuwa onside basi inaonekana hajui alisemalo zaidi ya kutupa lawama kwa marefa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic