January 13, 2020

12 COMMENTS:

  1. Thanks for your decision just remain as investor

    ReplyDelete
  2. Huyu nae angekuwa amewekeza kwa Arsenal au Manchester United ingekuwaje

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...Wachezaji wetu wametuangusha sana. Badala ya kucheza kazi kazi wao wanaleta nare nare; ingawa pia kulikua na kasoro kwenye kikosi kilichoanza

    ReplyDelete
  4. Simba ni kubwa kuliko Mo ilikuwepo kabla yake Na utaendelea kuwepo hata baada yake

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha ha, sasa tunalisubiri bakuli tuwachangie

      Delete
  5. tunaomba mtuletee Hilo bakuli tuwachangie sasa

    ReplyDelete
  6. Kukicha ASUBUHI kocha atajiuzulu

    ReplyDelete
  7. Alikua anatafuta sababu tu,sasa alikua anataka timu isifungwe?

    ReplyDelete
  8. Anaogopa kasi ya GSM,hivyo anatafuta chochoro la kutokea

    ReplyDelete
  9. Mo ni binadamu ameshindwa anapigwa sana na hao viongozi bora ache ajitowe mm ni mwanachama wa simba sio shabiki

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic