November 7, 2020


 MABINGWA watetezi Simba chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck n, Novemba 7 wamebanwa mbavu Uwanja wa Mkapa wakiwa na nyota wao namba moja Clatous Chama.

Yanga ilianza kupata bao la kwanza kupitia kwa Michael Sarpong dakika ya 31 kwa penalti baada ya Tusisila Kisinda kuchezewa faulo nje kidogo ya 18 na nyota Joash Onyango na mwamuzi Abdalah Mwinyi Mkuu kuamua ipigwe penalti kipindi cha pili.


Yanga kipindi cha pili walianza kwa kasi ila beki kisiki Lamine Moro alishindwa kumaliza dakika 90 baada ya kupata maumivu ya goti.

Nafasi yake ilichukuliwa na Said Juma ambaye alishuhudia bao la kwanza kwa Simba dakika ya 86 kwa pasi ya Luis Miquissone ambaye alikuwa ni mwiba kwa wapinzani.


Matokeo hayo yanaifanya Simba kubaki nafasi ya tatu ikiwa na pointi 20 huku Yanga ikiwa nafasi ya pili na pointi zake 24 na vinara ni Azam na pointi zao ni 25.


 

31 COMMENTS:

  1. Unaandika kwa uchungu. Faulo nje ya 18 irakuwa vipi penalti. Waamuzi waache kuamua kwa mapenzi ta timu zao..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si msimangi ila kwa fowadi Boko wa sasa simba itafute mshambuliaji mwengine atakaeweza kujitoa Muhanga. Fowadi aina ya Obrien Chirwa.Nilishangazwa sana na simba wakati chirwa alipokuwa free agent wakashindwa kumsajili. Najua mechi ya leo kama Morrison angekuwemo uwanjani basi habari ingekuwa nyengine hivi sasa. Wala simba hawana haja ya kwenda kuhangaika nje kutafuta fowadi Lusajo au Adamu Adamu wanatosha kabisa kuleta moral ya ziada ya kutafuta ubingwa.

      Delete
  2. Kabanwa simba au yanga aliyebebwa hata sisi huku tumeona faulu ngapi yanga wamechza na refa kapeta.

    ReplyDelete
  3. Tumieni VAR ili kuhakikisha penalti ni kweli

    ReplyDelete
  4. Kabanwa simba au yanga aliyebebwa hata sisi huku tumeona faulu ngapi yanga wamechza na refa kapeta.

    ReplyDelete
  5. Kabanwa simba au yanga aliyebebwa hata sisi huku tumeona faulu ngapi yanga wamechza na refa kapeta.

    ReplyDelete
  6. Mimi ni Yanga lro tumshukuru Refa. Kimpira tulizidiwa.Posession sisi 44 wao 56.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe sio Yanga..

      Delete
    2. Wewe ni wewe, utakuwaje Yanga? Acha kujipendekeza. Toka lini mkia ukawa Yanga?

      Delete
  7. Acha kubadili ukweli..Ni Yanga inaizidi Simba pointi tano..Ni Yanga ndiyo ilikuwa mwenyeji...Na ni Yanga ilitangulia kufunga...na ni Yanga ndiyo kipindi cha pili ilirudisha kikosi kizima kulinda goli...ilipaki basi...na ni Yanga imebebwa na refa.na ukumbuke mwaka juzi Yanga iliongoza ligi hadi zimebaki mechi sita

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na ngoja tukutane mbele ya safari... mtalia zaidi nyie mikia kupinda

      Delete
  8. Walahi haikuwa peneti ya kweli faulo ilikuwa wazi nje na sote Tumeshuhudia

    ReplyDelete
  9. Ni makosa ya kujirudiarudia ya Metacha Mnata, kushindwa kucheza krosi na kona, leo mngelala nacho mikia mifupi nyie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa tuta la mbeleko...unawashwa wewe

      Delete
  10. Kwakweli sisi Yanga tunamshukuru sana Refa kwa kutupatia penati,ametusaidia sana la sivyo tungeitwa majina kibao,Thank you our Referee!

    ReplyDelete
  11. N Bora mechi ingebak na wamuz 3 kuliko kua na wamuz 6 alafu wameshndwa

    ReplyDelete
  12. Mikia fc mmesahau nyie penati ya kagere mliyopewa faulo alichezewa nje na yondani

    ReplyDelete
  13. Faulo zote wanacheza yanga wanabebwa penati nje ya 18 wanapewa sisi penati 2 ndani ya 18 zimekataliwa na lile goli nalo aliona aibu kulikataa angekataa nalo? Mpira wa nchi hii hauwezi endelea hadi kiyama shauri ya kuaribu na upendeleo upumbavu mtupu

    ReplyDelete
  14. Yanga wamelala na viatu leo. Walipiga kelele Sana. Washukuru mbeleko ya refa aliye wazawadia penalti vinginevyo wangekimbiana leo

    ReplyDelete
  15. Mwandishi naye anazingua aliyebanwa mbavu ni nani yanga au simba maana mwenyeji ni yanga na ni yanga hiyohyo wakafanyiwa mchezo wa mcheza kwao hutunzwa na hutuzwa maana wamepewa zawadi ya penalt lililo zaa goli bila ivo walikuwa wanapigwa 1 kavu au mwandishi ulihisi simba ndo inaenda kuifunga yanga mpaka yanga iibane simba!!! Naona tunateseka wengi mpka mnaoandika naona hisia zenu..

    ReplyDelete
  16. Mwandishii !! ushabiki utakuua na Pressure ! Nani kabanwa kati ya Yanga na Simba ? Nani alikuwa Mwenyejiiii ??... Nani kabebwa na penati ya uongoo ??? Poleeni Ndugu Mwandishi ila ukweli unaujua ila unajifarijiii , Wanayanga Bhana , haya tuendelee tuone Mwisho

    ReplyDelete
  17. Rundo la waamuzi halijasaidia chochote zaidi ya kuharibu mchezo kwa maamuzi mabovu hii mechi ilistahili kuwa FT Yanga 0-1 Simba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mngefunga magoli mengine muone kama refa angeyakataa. Wacheni janjajanja, kikosi kipana mnafurahia droo! Zama zenu zimeisha.Mlishazoea kubebwa ndio mana mnaona kero, wakati mnapewa penalti ile na yule mwamuzi Rukia msimu uliopita,ilikuwa sawa? Saivi ndio sio sawa? Mtaumia sana mwaka huu!

      Delete
  18. Kidogo tu watu fulani hivi, nusula wang'oe viti maana ndy tabia yao.mikia msije na matokeo uwanjani, lile linaitwa pira mnataka.masholi nyie.

    ReplyDelete
  19. Utopolo mmeponea chupuchupu bila refa kuwabeba tungewatundika. Refa wanashirikiana na utopolo kuidhoofisha Simba lkn wp. Bingwa bdo Simba tu muda wetu wakutwaa makombe bdo haujaisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni ngumu sana Simba kuchukua kombe mara nne mfululizo, jiandaeni kisaikolojia, itabaki kumbukumbu tu.

      Delete
  20. Yale yale tu, msimu uliopita tulibebwa kwa penalti ya Kagere, ambayo hain fofauti na ile ya Twisila, wakafanya comeback ya 2-2, hap atunajifariji tu, ila ukweli utabaki palepale, kama hatuwezi kuwafunga Yanga hivi sasa basi tena. Wao ndio wanazidi kupata muunganiko na watakuwa bora zaidi. Kama mwamuzi katoa penalti basi sisi tungefunga mengine mawili (clear golas) tione kama angekataa. Flani angekuwepo, angefanyaje, hizo ni hadithi tu!

    ReplyDelete
  21. Uwanachama wako wa utopolo usiingiliane na maadili yako ya kazi andika ukweli ungekuwa mkweli ungeshaweka makala ya kumjadili mwamuzi ila kwa sababu mahaba yamekuzidi unaongelea vitu vingine

    ReplyDelete
  22. Miaka zaidi ya 3 Yanga inalalamikia Marefa na ninyi mikia mlikuwa mnawabeza na kusema wamezidi kulalamika. Sasa ninyi hili moja tu mnavunja rekodi ya kulalamika, dunia nzima imesikia malalamiko yenu; hilo ndilo pira birian mlilokuwa mnalinadi? Hakuna asiyejua udhaifu wa marefa wetu na wanafanya hayo ni kudhihirisha kuwa uwezo wao wa kutafsiri sheria ni mdogo. Msilalamike kuwa Yanga inabebwa wakati nayo inalalamika mara nyingi tu. Ninyi mmesema Yanga inabebwa kwa kuangalia mechi ya Jana tu. Mbona wakat Yanga inalalamika ninyi mnasema Yanga wanalalamika mambo ya uongo. Kuweni weledi basi kukemea udhaifu wa marefa ili tuinue kiwango cha soka Tanzania. Hiyo TFF ambavyo imejaa Simba tupu wanawezaje kuweka marefa wenye mikakati ya Kuipendelea Yanga wakati pale TFF wooooootee mpaka wafagiaji ni Wanasimba?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic