Kocha Mkuu wa Yanga amefunguka machache kuhusiana na matokeo ya mchezo baina ya Simba dhidi ya Namungo FC ambayo yalikuwa ni ushindi wa mabao 3-2 kwa Simba.
Mapema sana wewe unaonekana sio kocha hata kidogo,tena hauko sawa brother na utaisababishia yanga hasara kubwa sana,ushauri ungeachia hiyo nafasi ukasepa zako usithuaribie amani iliyopo tz,nchi inavyopendwa na wazungu leo unasema kuna ubaguzi wa rangi?hizo ni dalili za mapema kabisa,wewe sio kocha.unajaribu kutengeneza sababu ili ukiukosa ubingwa ujitetee watu wenye macho yao wameshakustukia achia ngazi.
kila timu ishinde mechi zake..offside trick wameitengeneza wenyewe...ki uhalisia hiyo siyo offside..penalt alitoipata Yanga ni mpira ulifuata mkono..ila Simba haiongei.kila timu ijali mambo yake..unazidiwa point 16..makosa kibao wachezaji red card..faini mill 3..bado yote makosa ya Simba.Hivi kuna sababu ya kuendelea viporo..Wakicheza leo na kesho kutwa matokeo yakiwa mabaya lawama ni TFF.Kumbukeni mlishinikiza na Simba mwaka jana kuna wakati ilicheza mechi 7 katika siku 10..hmnazo kweli. mnalalamikia mafanikio ya wenzenu.nendeni bungeni mpelekeeni jezi rais Fifa
Huyu kocha anaingilia kazi za kina Bumbuli na Nugaz. Jna kwenye kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi kazi alionyesha mchoro wa goli la kwanza la yanga walipocheza na prison, kwanza mpiga krosi alikua offside yaana Balama na pili mpira ulimgonga mkononi beki wa prison baada ya mpira ule kutoka kwenye mguu so sio hand to ball ni ball to hand, lakini wakati mpira unapigwa Marrison alikuwa offside. Hii ndio tunasema Nyani haoni Kundule...Afanye kazi yake sio kusahihisha waamuzi.
Huyu kocha ni mjinga sana, wao kipindi wanacheza na prison,ile penati haikuwa sahihi coz kabla beki hajashika mpira tiyari kulikuwa na offside mbona ilo aliongelei, apambane na hali yake
Waandishi makanjanja wanafanya kampeni ya wazi dhidi ya Simba. Fikiri tu ingekuwa ni michezo ya Simba, Bodi ya ligi "imesahau"kuyaweka kwenye ratiba zingeaandikwa makala 20.Goli la OFFSIDE dhidi ya Prisons, penalti ya ball to hand yote hayaonekani kwa sababu ni timu pendwa. Kipindi cha kipenga cha mwisho kinajaribu kusema ukweli lakini waandishi wenye kampeni yao wanajitia upofu. KILA mtu ashinde mechi zake. Kampeni za kijinga haziwezi kufanya timu ishinde.
Bodi ya ligi "wamesahau"kuiweka Yanga kwenye ratiba huku wakiwa na viporo nä kuhakikisha Simba inacheza mfululizo nä kufanya wachezaji wachoke .Yanga wamepata faida ya wachezaji wao kupumzika .Ingekuwa ni Simba lingeshikiwa bango haswa kwamba ni upendeleo. Lakini sasa makanjanja kimya licha ya kisingizio cha kitoto kwamba Bodi imewasahau Yanga!!!
Mapema sana wewe unaonekana sio kocha hata kidogo,tena hauko sawa brother na utaisababishia yanga hasara kubwa sana,ushauri ungeachia hiyo nafasi ukasepa zako usithuaribie amani iliyopo tz,nchi inavyopendwa na wazungu leo unasema kuna ubaguzi wa rangi?hizo ni dalili za mapema kabisa,wewe sio kocha.unajaribu kutengeneza sababu ili ukiukosa ubingwa ujitetee watu wenye macho yao wameshakustukia achia ngazi.
ReplyDeleteAcha kocha aseme mapovu ya nini brother mnabebwa mpaka aibu
DeleteKama ni offside anayoilalamikia kwenye goli la Simba basi hiyo picha yake ya Twitter inamsuta.
ReplyDeleteHirizi fc mnabebwa sana aibu
Deletekila timu ishinde mechi zake..offside trick wameitengeneza wenyewe...ki uhalisia hiyo siyo offside..penalt alitoipata Yanga ni mpira ulifuata mkono..ila Simba haiongei.kila timu ijali mambo yake..unazidiwa point 16..makosa kibao wachezaji red card..faini mill 3..bado yote makosa ya Simba.Hivi kuna sababu ya kuendelea viporo..Wakicheza leo na kesho kutwa matokeo yakiwa mabaya lawama ni TFF.Kumbukeni mlishinikiza na Simba mwaka jana kuna wakati ilicheza mechi 7 katika siku 10..hmnazo kweli. mnalalamikia mafanikio ya wenzenu.nendeni bungeni mpelekeeni jezi rais Fifa
ReplyDeleteWape ukweli.
DeleteHuyu kocha anaingilia kazi za kina Bumbuli na Nugaz. Jna kwenye kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi kazi alionyesha mchoro wa goli la kwanza la yanga walipocheza na prison, kwanza mpiga krosi alikua offside yaana Balama na pili mpira ulimgonga mkononi beki wa prison baada ya mpira ule kutoka kwenye mguu so sio hand to ball ni ball to hand, lakini wakati mpira unapigwa Marrison alikuwa offside. Hii ndio tunasema Nyani haoni Kundule...Afanye kazi yake sio kusahihisha waamuzi.
ReplyDeleteNi sahihi kabisa
DeleteHuyu kocha ni mjinga sana, wao kipindi wanacheza na prison,ile penati haikuwa sahihi coz kabla beki hajashika mpira tiyari kulikuwa na offside mbona ilo aliongelei, apambane na hali yake
ReplyDeleteukweli unauma pumbavu zenu.
ReplyDeleteWaandishi makanjanja wanafanya kampeni ya wazi dhidi ya Simba. Fikiri tu ingekuwa ni michezo ya Simba, Bodi ya ligi "imesahau"kuyaweka kwenye ratiba zingeaandikwa makala 20.Goli la OFFSIDE dhidi ya Prisons, penalti ya ball to hand yote hayaonekani kwa sababu ni timu pendwa. Kipindi cha kipenga cha mwisho kinajaribu kusema ukweli lakini waandishi wenye kampeni yao wanajitia upofu.
ReplyDeleteKILA mtu ashinde mechi zake. Kampeni za kijinga haziwezi kufanya timu ishinde.
Bodi ya ligi "wamesahau"kuiweka Yanga kwenye ratiba huku wakiwa na viporo nä kuhakikisha Simba inacheza mfululizo nä kufanya wachezaji wachoke .Yanga wamepata faida ya wachezaji wao kupumzika .Ingekuwa ni Simba lingeshikiwa bango haswa kwamba ni upendeleo. Lakini sasa makanjanja kimya licha ya kisingizio cha kitoto kwamba Bodi imewasahau Yanga!!!
ReplyDelete