MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool,aametupia jumla ya mabao 11 kwenye Ligi Kuu England msimu huu wa 2019/20.
Ana wastani wa kufunga kila baada ya dakika 155 bao moja kwenye jumla ya dakika 1,706 alizocheza ndani ya kikosi chake.
Mbali na kufunga Salah ana rekodi ya kutoa asisti ambapo ametoa jumla ya asisti 5.
Liverpool ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 67 na imefunga jumla ya mabao 54.
0 COMMENTS:
Post a Comment