BERNARD Morrison, nyota mpya wa Yanga amesema kuwa ataendelea kutoa burudani kwa mashabiki bila kuchoka kwani ni kitu anachokifikiria muda wote.
Morrison amecheza mechi mbili na amefunga bao moja akiwa na asisti mbili, mechi yake ya kwanza ilikuwa ni ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida United na Yanga ilishinda mabao 3-1 alitoa asisti kwa Niyonzima na mchezo wa pili ulikuwa dhidi ya Tanzania Prisons ambao ulikuwa ni wa Shirikisho na Yanga ilishinda mabao 2-0.
"Mambo bado yanakuja kwani huu ni mwanzo, ninachofikiri ni kuona namna gani nitawapa burudani mashabiki na kucheza mpira kwa umakini zaidi ya hapa kwani mambo bado yanakuja," amesema.
Aendelee Kutoka ahidi na huku myama akizidi kula nyama
ReplyDeleteahadi ni kwa mashabiki wa Yanga tu simba mtulie kha!! hamtaaki hata watu wavute pumzi !!
ReplyDeletehio bururdani haiwahusu simba,ni washabiki wa yanga tu pekee,ila nyie simba endeleen kupewa magoli ya Offside mpaka mchukue ubingwa,ndio maana mkifikaga kwenye game za kimataifa kufungwa tano nyie ni kawaida tu
ReplyDeleteIla tulifika robo na kumbuka hu mwaka nafas ni mbili t
DeleteMlifika robo Kwa kupuliza madawa kwenye vyumba mnadhani nani hajui hilo?taarifa zenu tunazo
DeleteHuo uzushi wenu usioisha ndio unaokuponzeni mkachapwa mamilioni na huko Fifa na kwengineko mlipokwenda wanatazama Sheria ziliopo na sio mtakavo nyio na hapo ndipo mnapozidi kuonekana mwapenda malalamiko yasiyo na mashikio
ReplyDeleteNamuusudu kweli style ya ngoma mbwakachoka ama kweli kwa mkao huo wa kubenuwa wa kutisha Simba imekwisha
ReplyDelete