HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa wachezaji wake wamejitahidi kucheza mbele ya Simba licha ya kufungwa mabao 3-2.
Namungo iliyo nafasi ya tano kwenye msimamo ikiwa na pointi 28 baada ya kucheza mechi 17 ilimenyana na Simba Januari 29 Uwanja wa Taifa.
Akizungumza na Saleh Jembe, Thiery amesema kuwa moja ya mpango mkubwa ilikuwa ni kupata ushindi ila kupoteza na kucheza kwa wachezaji wake anawapongeza.
“Mchezo ulikuwa mgumu, wachezaji wangu wamecheza na wanstahili pongezi, labda bao la mwisho kwangu na benchi lilikuwa na maswali mengi ila hatujui kwa kuwa maamuzi ya uwanjani yapo mikononi mwa marefa," amesema.
Poleni wanaume hao hiyo ndio kawaida yao lazima mbeleko itumike na hata wasingepewa hilo goli basi wangetafutiwa tuta chezea simba wewe wanazitumia vizuri pesa za mo hongereni simba ongezeni speed ya kununua marefa
ReplyDeleteHahahaaaa tanzania hii simba itawanyea sna kipindi cha malinzi kimepita sasa tutawajambia mdomoni bladbasketbolu
ReplyDeleteHahahha kila kitu kinatokea according to time....kama kipind cha malinz vile mnavyo umia nasi tulipita huko
ReplyDeleteafadhali ya saa hii.wakati wa Malinzi mchezaji ana kadi tatu za njano bado anachezeshwa matokeo yake timu inapata ubingw wa kupewa
ReplyDeleteHacheni ujinga Simba inakikosi kizuri
ReplyDelete