UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa leo utapambana kupata pointi tatu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa UwanjaUhuru.
"Tunawatambua wapinzani wetu si timu ya kubeza ila tumejipanga kuona kwamba tunapata matoko mazuri kujiweka kwenye nafasi nzuri.
"Mashabiki wajitokeza kwa wingi kutupa sapoti tunaamini tunaweza kufanya jambo ambalo litakuwa na matokeo kwetu na mashabiki pia," amesema.
0 COMMENTS:
Post a Comment