January 11, 2020

2 COMMENTS:

  1. huyo kocha kaanza kumanage club tangu 1999.Wakati huo kocha wa Simba ni kijana wa miaka 20.Sasa sio suala la kufundisha klabu ngapi ni suala la klabu anayofundisha iko nafasi ya ngapi?Na amechukua mataji mangapi.Ukiangalia mataji ya premium league alo hukua ni yale Ya Congo kwenye 2010-11.Sasa ni 2020 na klab alizofundisha miaka yote mitatu iliyopita ziko nafasi nne toka mwisho.Pengine anakuta timu ziko vizuri mfano AC Vita, Rayon Sport Al Marrikh sio kwamba ni yeye anafanya klabu ziwe vizuri

    ReplyDelete
  2. hivi unajua kufundisha timu ya taifa kama ya Zambia ni kitu kikubwa sana!Tusitumie kigezo cha kufukungekuwa ni nchi yeyote ya Afrika, yule kocha wa Ujerumani angefukuzwa kama ilivyotokea kocha wa Misri baada ya Afcon.Sasa kama ni kocha mzuri kwa nini hiyo timu anayotoka iko nafasi mbili toka mwisho..Na aliyofundisha mwaka uliopita haiko hata premium league.Ya mwaka juzi Misiri inaboronga of course keshatoka huko...Huyo kocha ana CV ndefu kwa kuwa ni mzee na anahama hama timu..Hana CV bora

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic