RASMI YANGA WAFUATA NYAYO ZA SIMBA Mwenyekiti wa timu ya Yanga anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura wa wanachma wa Klabu utakaofanyika Jumapili 16/02/2020 kuanzia saa nne asubuhi.
0 COMMENTS:
Post a Comment