February 1, 2020

5 COMMENTS:

  1. Ubaya ubaya wapenzi wa Simba tuungane kuisapoti mtibwa jumapili. Yanga walifanya hivyo kwa Namungo kwa kuwapatia mkataba feki wa sport pesa ili iwaekee ngumu Simba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hujui kama Mo anaidhamini Namungo? Lile goli la tatu mlilofunga uliliona? Unajua kwa nini yanga hapangiwi mechi japo ina viporo? Unavyoiona Simba na mabeki wake wanavyocheza kwa sasa inaweza kushinda mechi bila kupewa magoli.
      Mabeki wa kati wanaocheza wawili tu halafu wamechoka kwa uzee, unategemea ushindi halali mtapata hapo.
      Mnakutana lini na Yanga raundi ya pili? Wale mabeki wenu wengine kina Kennedy, mlipili na wengine wako wapi. Wawa na Erasto wamechoka sana. Kikosi chenu kipana kimepotelea wapi? Umeona mpira wanaocheza Yanga?

      Delete
    2. Kwani wamekutana mara ngapi Simba ikiwa na hao hao mabeki wazee na mnashindwa kuupata ushindii??
      au kati ya mabeki wazee wa simba na hao vijana wako kina Yondan wepi wameruhusu goli nyingi kwenye timu zaooo??

      Delete
  2. Hao mabeki wazee wa simba na hao mabeki vijana wa Yanga wepi walioruhusu mabao mengi? Unaongea kama mpumbavu.kama mashabiki wenyewe wa Yanga ndio nyie basi kiasi mchekelee mchezaji anaenyanyua mikono hewani kama Bundi anaetaka kuruka.

    ReplyDelete
  3. Timu ina goal difference 4 inaitambia timu yenye goal difference 29.Umezidiwa pointi 16 bado unafungua mdomo.
    Yondani anacheza Yosso?Messi na Ronaldo wana miaka mingapi?Eti wazee?Mnasema hayo kila mwaka na Kagere anawatungua.Mwaka wa 4 huu mnashangilia sare.Tatizo hamuoni yenu mlipigwa 2 bila na Ruvu Refa akakataa goli lao la wazi.Hakuna anayeshikia bango kwa sababu ya udhaifu wenu.Akicheza Simba Nchi nzima inasimama na waandishi wenu makanjanja wanasaka matukio .Zikicheza timu zingine kimyaaa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic