February 1, 2020

3 COMMENTS:

  1. Wazee wa majungu. Wameona hawana nafasi ya kuchukua ubingwa sasa wanaendesha kampeni za vurugu na lawama na uzushi.

    ReplyDelete
  2. Ingekuwa simba sasaa ana viporo hivi ingekuwa habari ya mjini, kuna sababu gani ya msingi, eti samahani kupitiwa. Kwa hiyo mlisahau kama Yanga ipo?

    ReplyDelete
  3. Yanga watafute sababu la msingi na siyo propaganda na majungu yanayopotosha.Mbona huo ubingwa unahangaikiwa kwa hali na mali mpaka majungu.Mwaka jana walipoona hawataweza kupata ubingwa ulikuwa wimbo wa viporo eti kuna timu inaandaliwa.Na kwa nini Simba wasilalamike eti Yanga wanaandaliwa sababu ya viporo.Kocha Simba ameshalalamika eti matokeo sio mazuri kwa sababu kila kukicha mechi.Wengine wanacheza mara moja kwa wiki hadi mbili tatu zinapita.Walipo Yanga ndipo ilipokuwa Simba jana.. Wamekuja eti waamuzi wanaipendelea Simba..Kumbe ni waamuzi wanaoboronga hadi ligi daraja la kwanza. Rekodi zinaonyesha hata wao Yanga wananufaika na magoli yasiyo halali na ya dhuruma. Mara vyumba vinapuriziwa harufu mbaya.Sasa kama hili mnalijua linatokea kwa nini msiweke ulinzi wa vyumba vya wachezaji wenu..Mechi ya Simba vyumba vililindwa kwa siku tatu mfululizo.Acheni zenu huo ubingwa sio mali yenu..mtanunua wachezaji ghali wa mkataba miezi 6, mtaleta mwagwiji wa Bianfica, mpadilishe kikosi kizima na hata nafasi ya pili mnaweza msifikie.Kila kukicha babu.Tabia hii ni shetani hupenda..Sio uadilifu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic