IMEELEZWA kuwa mechi nne ambazo Simba imeshinda, Kocha Msaidizi Seleman Matola alihusika kupanga vikosi hivyo kwa asilimia kubwa tofauti na mechi nyingine zilizopita.
Sven Vandenbroeck ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba inaelezwa kuwa hataki kushaurika kutokana na kuamini zaidi katika uwezo wake jambo ambalo limemfanya awapige pini viongozi wengine kuzungumza kuhusu timu.
"Hakuna ruhusua kwa viongozi wengine kuzungumza kuhusu timu zaidi yake pia hata ushauri wakati mwingine hataki, ila baada ya kupoteza mbele ya JKT Tanzania kwa kufungwa bao 1-0 kidogo ameanza kuelewa.
"Kuna mchezaji ambaye aliamua kujilipua na kuwaambia viongozi kwamba wamalizane tofauti zao ili timu icheze ndio maana sasa mambo yanakwenda na Matola anahusika kwenye kupanga kikosi," kilieleza chanzo hicho.
Mechi ambazo Simba imeshinda baada ya kufungwa na JKT Tanzania ni ile mbele ya Mtibwa Sugar mabao 3-0, Lipuli0-1, Kagera Sugar 0-1 na Biashara United 1-3.
Kesho itakuwa kazini kumenyana na Stand United kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora Uwanja wa CCM Kambarage.
Patrick Rweyemamu, Meneja wa Simba amesema kuwa masuala yoto ya timu yanayowahusu wachezaji, kocha huwa anazungumza baada ya mchezo kukamilika.

Utawala wa Simba ungemsomesha Matola thn aje akabhiwe timu
ReplyDeleteKwangu naaamini Matola, Mexime na Mgunda ni miongoni mwa makocha wazawa wenye uwezo mkubwa kuliko hao wazungu wanaotafuna pesa buuureee
Mmeanza kuleta chokochoko.Kwani Matola ni kocha wa Ndanda?Kwanza habari hii ni uongo nä uzushi. Juzi Matola amesema kwamba hawezi kumpanga Ndemla kwani hana uwezo wa kupanga timu kwani ni jukumu la Kocha mkuu Sven.Anashauri tu.
ReplyDeleteyote hayo ni majungu baada ya timu kuanza kufanya vizuri
ReplyDelete