February 23, 2020

BAADA ya ushindi wa jana mbele ya Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara walioupata Simba, leo kikosi kimeanza safari kuelekea Mwanza.

Simba jana ilishinda mabao 3-1 mbele ya Biashara United mchezo wa Ligi Kuu Bara kitakuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Stand United Februari 25. 

Safari yao Shinyanga itakuwa kesho Jumatatu, Februari 24 kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho.

Mchezo huo ni hatua ya 16 bora ambapo Simba ilitinga baada ya kuifunga Mwadui FC mabao 2-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru.

Verified


1 COMMENTS:

  1. Na mechi hiyo iwe vilevile ya kujitayarisha na ile mechi ya tarehe 8 March ambapo tunangojea matokeo ya kuuamuwa kwa hakika nani mabingwa na nani wataoanza kutimuwana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic