February 15, 2020


FT: Yanga 0-0 Tanzania Prisons 
Uwanja wa Taifa

Mpira umekamilika Uwanja wa Taifa kwa Yanga na Tanzania Prisons kugawana pointi mojamoja.
Zimeongezwa dakika tano
Dakika ya 77 Ngassa anaingia kuchukua nafasi ya Banka
Dakika ya 75 Morisson anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 72 Morrison anapaisha penalti
Dakika ya 70 mlinda mlango wa Prisons anaonyeshwa kadi ya njano na Yanga wanapewa penalti
Dakika ya 63 Kaseke anaingia kuchuka nafasi ya Tariq Dakika ya 60 Molinga anaingia kuchukua nafasi ya Yikpe
Nurdin Chona wa Prisons njano dakika ya 59 Dakika ya 54 Jeremiah Juma anatoka nje Lameck anaingia 
Dakika ya 47 Yanga wanafanya jaribio la kwanza kipindi cha pili Zimeongezwa dakika mbili
Dakika ya 44 Morrison anafanya jaribio kali linalompeleka chni mlinda mlango wa Prisons Jeremia Kisubi
Dakika ya 39 Prisons wanafanya jaribio linaokolewa na ShikaloDakika ya 37 Laurance Mpalile anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 32 Mkandala anafanya jaribio ambalo halizai matunda
Dakika ya 22 Juma Mkandala anaotea kwa Prisons
Dakika ya 15 Tshishimbi anapewa huduma ya kwanza, ndani ya kipindi hiki kila timu inafanya mashambulizi na kujilinda 
Dakika ya 10 Morrison anapiga kona ya kwanza inaokolewa
Dakika ya 9 Prisons wanafanya jaribio moja kali ila linakwenda nje
Dakika ya 8 Morrison anapiga shuti linakwenda nje jumla
Dakika ya 7 Moro anapeleka majalo mbele
Dakika ya 1 Morrison amecheza faulo akiwa ndani ya 18
Yanga iliyo chini ya Luc Eymael, imeanza kumenyana na Prisons Uwanja wa Taifa mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Yanga ilishinda kwa bao 1-0 Uwanja wa Samora.

12 COMMENTS:

  1. Mnahemea gesi watani,poleni sana.

    ReplyDelete
  2. Watani taabani na hawajiwezi Jee Nani anaekekea ubingw

    ReplyDelete
  3. Tulishawaambia wao watembee juu ya mpira wenzako wanatembea juu ya Msimamo

    ReplyDelete
  4. Tulisikia kuwa Mzungu wa Yanga kashitukia jambo na chapchap akabadilisha Gia itayoleta ushindi lakini inaonesha Gia imevunjika meno lakini punde hivi tutasikia vyura wameonewa kwa kunyimwa peneti

    ReplyDelete
  5. hahahaaaaa na kaz wanayo hawa vyura tunaitaj baada Ya mech 12 watutangaze wabingwa

    ReplyDelete
  6. Mnabebwa hadi aibu vyura nyinyi mnawaumiza wachezaji wa prison refa anawabeba mmepewa hadi penati ya dhuluma ili mshinde kandambili nyinyi na hiyo midira yenu mlio vaa

    ReplyDelete
  7. Ujinga ule wa kumvimbisha kichwa Morrison na upuuzi wake leo kawalipa inavyostahili.kukosa penailt kwa mchezaji sawa lakini Morrison hajafikia kuwa na heshima ya kupiga penalt mbele ya Niyonzima au Mapinduzi balama.kutukuzwa kwa hafla tayari alishajiona staa na kupoteza umakini.

    ReplyDelete
  8. Ndio Mambo ya mpira, hakuna Cha ajabu. Wasiojua soka ndio wanaweza wasielewe.
    Ukifuatilia kwa makini hata team kubwa kunawakati Zina pitia ktk wakati mgumu,
    Angalia team Kama Man United, Arsenal, hata Ac Milan

    ReplyDelete
  9. Makanjanja ingekuwa mchezaji wa Simba ndio amefanya kitendo alichofanya Morrison kuwapiga viwiko wachezaji wa Prisons kusingelalika .Ingekuwa kila media inazungumzia hilo.

    ReplyDelete
  10. SALEH JEMBE TUNAOMBA UZUNGUMZIE VIWIKO VYA MORSON,AU UTAJIFANYA HUJAVIONA KIONGOZI?HAPANA TUNAOMBA WEWE KAMA MEDIA PRESENTER NA NINAAMIN KABISA KWAMBA HILI SUALA UMELISHUHUDIA KWA MACHO YAKO,INGELIKUA SIMBA NDIO AMEFANYA HIVYO SIDHANI KAMA KUNGEKALIKA HAPA,LAKINI HII NI TIMU YA WANANCHI WANAAMUA LOLOTE WANALOTAKA WAO,TUNAOMBA HAKI ITENDEKE BWANA SALEH JEMBE,WHERE IS THE ROLES OF MASS MEDIA??MNACHOSHA MJUE NA MKIFANYA MCHEZO VIEWER WATAZIDI KUPUNGUA KWA BLOG YAKO.

    ReplyDelete
  11. Hawa jamaa kila Wanapofugwa wanapanic Sana na hukaa vikundi wakaanza kupiga makelele ya tunaumia na kutaka baadhi ya wachezaji wafukukuzwe ni kinyume na sisi wana Simba ambapo tukifungwa hutulia na kumuomba Mungu. Tukifunga tunamshukuru na tukifungwa pia tunamshukuru na kumuomba atupe ushindi kwa michezo ijayo Bila ya kumshutumu yeyote ambapo wenzetu ubabeubabe tu. Kocha na mchezaji munaemsingama kwa maneno yasiokuwa na mana atakuwa na morali gani?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic