Ila mashabiki wa Yanga ni vimeo wanakera. Tuliona goli halali la Simba kupitia kwa Garson Fraga kukutaliwa lakini hatukuona vyombo vya habari au mashabiki kusema chochote. Ila Simba ikishinda imebebwa na Yanga ikishindwa au kutoka sare basi wameonewa,pumbav kabisa. Na match inayofuata Yanga atacheza na polisi Tanzania kwa jinsi polisi walivyofiti kwa Yanga hii labda wanunue mechi lakini wajiandae kisaikolojia kwani maumivu yanakuja.
Ndio kawaida ya Mashabiki, hata Simba walivyo fungwa na JKT Mashabiki walikasirika, mpaka kutaka coach afukuzwe, kwahiyo sio Jambo la kushangaza kuona Mashabiki wanalalamika
Ila mashabiki wa Yanga ni vimeo wanakera. Tuliona goli halali la Simba kupitia kwa Garson Fraga kukutaliwa lakini hatukuona vyombo vya habari au mashabiki kusema chochote. Ila Simba ikishinda imebebwa na Yanga ikishindwa au kutoka sare basi wameonewa,pumbav kabisa. Na match inayofuata Yanga atacheza na polisi Tanzania kwa jinsi polisi walivyofiti kwa Yanga hii labda wanunue mechi lakini wajiandae kisaikolojia kwani maumivu yanakuja.
ReplyDeleteMapovu ruksa mzee
Deletemapovu ya nn apo
ReplyDeleteNdio kawaida ya Mashabiki, hata Simba walivyo fungwa na JKT Mashabiki walikasirika, mpaka kutaka coach afukuzwe, kwahiyo sio Jambo la kushangaza kuona Mashabiki wanalalamika
ReplyDelete